
Tumia maarifa, vipawa, rasilimali, muda na chochote ulichonacho
kuhakikisha ndoto yako inatimia, ili uweze kutathmini, kama inafaa uweze kupanua wigo
wa ndoto yako; huwezi kujua kama ndoto yako ni bora au sio mpaka uifanyie kazi mpaka mwisho; usiguse jambo au biashara ya ndoto yako na kuacha kabla hakijatimia wengi
tumekuwa tukitaka kufanya mengi na kuacha bila ya kukamilisha hapo
unakuwa unapoteza muda na rasilimali zako na hutofanikisha ndoto zako.
Fanya tafiti wa kina katika ndoto yako na ukiona ina tija itekeleze
kwa nguvu zako zote mpaka itimie.
0 comments:
Post a Comment