
Nchi ya viwanda inawezekana endapo wajasiliamali watakuwa wabunifu wa kuanzisha viwanda vya kutenengeza bidhaa bora na kwa wingi au kujikita katika kuzalisha malighafi zitakazohitajika katika viwanda vitakavyoanzishwa.Tusisubiri kuajiriwa kwenye viwanda hivyo; si lazima kuwa na mtaji mkubwa kuanzisha kiwanda, unaweza kuanza na kidogo; sekta ya viwanda ni...