Ili kuboresha semina yetu ambayo imelenga kuelimisha wajasiliamali, taasisi na vikundi vya kijamii /kijasiliamali semina hii iliyoandaliwa na Hertu Farms kwa kushirikiana na Temise Tanzania, sasa itafanyika kuanzia tarehe 9 hadi 12 mwezi Aprili, badala ya tar 3 hadi 7 Aprili kama ilivyopangwa awali. WAHI SASA KUJISAJILI!
Piga simu 0713600915 au 0783182632 kujua namna ya kujisajili.
achuyaMabadilikoyakoPiga simu 0713600915 au 0783182632 kujua namna ya kujisajili.
0 comments:
Post a Comment