Hertu Farms inaomba kukutana kwa haraka iwezekanavyo na wazalishaji wa Uyoga (wazalishaji wadogo na ambao tayari wanazalisha) na wenye nia thabiti, wapo serious na ari ya kushirikiana ili kuweza kutatua changamoto zinazoikabili hii sekta hasa swala la soko.
Kwa mzalishaji yoyote hasa aliye katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani na mikoa ya karibu na Dar es salaam, anaombwa kuonesha nia yake kwa kutuma yafuatayo;
1.Jina la mzalishaji/kampuni/kikundi
2.Mahali Mradi ulipo
3.Kiwango anachozalisha kwa siku/wiki/mwezi (ambacho ni endelevu)
4.Aina ya uyoga unaozalisha
5.Matarajio yake
6.Changamoto unazokabiliana nao
7. Nini anahisi kifanyike ili kuinua sekta hii
LENGO: Kujuana, kubadilishana uzoefu na kuweza kutatua changamoto mbalimbali kwa pamoja.
Baada ya kuonesha nia yako Mkurugenzi wa #HERTUInvestment#HertuFarms atawatembelea wazalishaji walioonesha nia na pamoja mambo mengine atawashirikisha fursa kubwa aliyonayo katika hii sekta ya Uyoga na kwa pamoja tuweze kuitumia (tena kwa haraka sana).

Naomba nisisitize kuwa tunahitaji wale tu walio serious, ambao tayari wameanza kuzalisha, hata kama ni kidogo, na nia thabiti ya kushirikiana.
Tutumie nia yako kwa njia zifuatazo:
Ujumbe/sms: 0713622053 au 0783182632
Whatsup: 0757315931
E-mail: hertufarms@yahoo.com au hmsagamasi@yahoo.com
Facebook: Hertu Farms au HERTU Investment
Twitter/Instagram: @hertufarms
Ujumbe/sms: 0713622053 au 0783182632
Whatsup: 0757315931
E-mail: hertufarms@yahoo.com au hmsagamasi@yahoo.com
Facebook: Hertu Farms au HERTU Investment
Twitter/Instagram: @hertufarms
Tafadhali "share" taarifa hii na mzalishaji wa uyoga unaye mfahamu asipitwe na fursa hii.
"Share" pia kwenye "groups" nyingine.
KARIBUNI KWA PAMOJA TUINUE SEKTA HII YA UYOGA INAYOKUA KWA KASI HAPA NCHINI!
Herman Msagamasi
Mwanzilishi&Mkurugenzi
HERTU Investment-Hertu Farms Project
Mratibu wa Miradi- Temise Tanzania
Mwanzilishi&Mkurugenzi
HERTU Investment-Hertu Farms Project
Mratibu wa Miradi- Temise Tanzania
0 comments:
Post a Comment