
HERTU INVESTMENT/Hertu Farms na TEMISE Tanzania tunapenda kuwatangazia wajasiliamali au vikundi vinavyopenda kuanzisha mradi wa uzalishaji Uyoga kibiashara sekta ambayo inayokuwa kwa kasi nchini baada ya kuwa na umuhimu mkubwa kwa kuimarisha afya za watu na kuwaingizia kipato kuwa tunatoa huduma zifuatazo.
1.Tutakupa ushauri elekezi , kwanza tutakufundishadhana nzima ya Biashara na ujasiliamali, na elimu sahihi ya uzalishaji uyoga kibiashara, jinsi ya kuulima/kuzalisha Uyoga bora, na pia tutakufundisha namna ya kufanya Biashara ya Uyoga kwa maana ya jinsi ya kufungasha, na kutafuta masoko/wateja n.k.
1.Tutakupa ushauri elekezi , kwanza tutakufundishadhana nzima ya Biashara na ujasiliamali, na elimu sahihi ya uzalishaji uyoga kibiashara, jinsi ya kuulima/kuzalisha Uyoga bora, na pia tutakufundisha namna ya kufanya Biashara ya Uyoga kwa maana ya jinsi ya kufungasha, na kutafuta masoko/wateja n.k.
3.Tutakusajili kwenye mtandao wetu maalumu wawazalishaji Uyoga ili kwa pamoja tuweze kutatua changamoto mbalimbali kamamasoko n.k. pia kwa pamoja tuweze kushiriki fursa mbalimbali ikiwemo maonesho,utengenezajiwa bidhaa mbalimbali za uyoga n.k.
4. Kwa wale ambao wameshaanza mradi na wanakabiriwa na changamoto mbalimbali tutakupa ushauri na kukujengea uwezo wa kutatua changamoto wenyewe na kufikia malengo yao.
Karibu ewe mjasilimali au kikundi ili uweze kutimiza lengo la kuanzisha mradi wa Uyoga ili uweze kuingiza kipato kupitia kilimo cha Uyoga ambacho, hutumia muda mfupi hadi kuvuna kuliko mazao mengine (siku 30-40), gharama ndogo sana za uendeshaji baada ya kujenga banda, muda mfupi kuhudumia, kutumia eneo dogo, kulima kipindi chote cha mwaka, na kutumia malighafi zinazopatikana kwenye mazingira yetu kama maranda, majani ya migomba au mpunga, maganda ya karanga, au alizeti, mabaki ya miwa n.k . Na zaidi kuzalisha bidhaa ambayo mbali ya kukuingizia kipato pia itakusaidia kuimarisha afya yako mwenyewe na jamii inayokuzunguka na zaidi utashiriki katika kutunza mazingira yetu.
Wasiliana nasi;
Mkurugenzi-Herman Msagamasi: Simu 0783182632/0713622053 Whatsup 0757315931
Meneja Miradi-Shaban Kabanga: Simu 0713600915/0625568750 Whatsup 0712047969
Au unaweza kufika ofisini; Kinondoni- Mwananyamala(Komakoma),
Jengo la Biashara Complex, Ghorofa 3,
Chumba Na.301, Dar es Salaam.
Pia tunakufikia popote ulipo katika mikoa mbalimbali
0 comments:
Post a Comment