Habari, Hertu Farms kwa kushirikiana na Temise Tanzania wameeandaa mafunzo maalumu ya Biashara,Masoko&Huduma kwa wateja, Kilimo cha Uyoga na Utengenezaji wa vitafunwa, kwa kuzingatia mahitaji na njia bora ya kujiajiri karibu upate ujuzi ili uweze kujiajiri.
Kwa maelezo zaidi fuatilia tangazo hapo chini.
Kwa maelezo zaidi fuatilia tangazo hapo chini.
0 comments:
Post a Comment