Bado lengo letu ni kukusaidia kuifikia ndoto yako ya mafanikio. Kwa dhati tunapenda kuwakaribisha wajasiriamali wote kushiriki nasi katika semina ya siku moja tu yenye lengo la kufungua njia ya mabadiliko katika kuongeza maarifa ya namna bora ya kuendesha biashara zetu na kuleta mafanikio zaidi, kuzitambua fursa zitokanazo na bidhaa tunazozizalisha, na kutambua utajiri wa fursa zilizopo ndani ya biashara ya kilimo cha uyoga.
Mafunzo haya yameandaliwa na Temise Tanzania pamoja na #HERTUInvestment/Hertu Farms
Kwa mawasiliano piga/tuma ujumbe 0713600915/0783182632, SEMINA NI BUREEE!
Nafasi ni ya watu 30 tu hivyo jisajili mapema kuepuka usumbufu. Semina hii itafanyika tar 26.4.2017 pale GOLDEN PARK HOTEL, Sinza, Dar es Salaam
Fomu ya kujiunga na mafunzo ni Tsh. 5,000 tu.
KARIBU SANA!
Saturday, 22 April 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment