Wednesday, 19 April 2017

Bado tunaweza kukusaidia kuifikia ndoto yako, Kwa dhati tunapenda kuwakaribisha wajasiriamali wote kushiriki nasi katika semina ya siku moja tu yenye lengo la kufungua njia ya mabadiliko katika kuongeza maarifa ya namna bora ya kuendesha biashara zetu na kuleta mafanikio zaidi, kuzitambua fursa zitokanazo na bidhaa tunazozizalisha, na kutambua utajiri wa fursa zilizopo ndani ya biashara ya kilimo cha uyoga.
Mafunzo haya yameandaliwa na Temise Tanzaniapamoja na #HertuInvestmentHertu Farms 
Kwa mawasiliano/namna ya kushiriki, piga 0713600915/0783182632, nafasi ni ya watu 30 tu hivyo jisajili mapema kuepuka usumbufu.

0 comments:

Post a Comment

About our customers

About our customers

Popular Posts

Recent Posts

Text Widget